Muimbaji Janet Jackson,athibitisha ni mja mzito akiwa miaka 50 Muimbaji Janet Jackson amethibitisha rasmi kwamba anatarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50. Ameliambia jarida la People: “Tunashukuru Mungu kwa baraka tuliyonayo”, na akapigwa picha na tumbo lake linalozidi kuwa kubwa kudhihirisha uja uzito. Fununu kuhusu […]